|
|
||||||
![]() |
||||||
|
MAHOJIANO YA DR. SLAA NA ITV YALIYOBADILISHA MWELEKEO! Updated: 2010-10-29 05:16:14 Description: Dr. Slaa alipata nafasi ya kuzungumza siku ya Jumamosi na kituo cha Televisheni cha ITV kuhusu masuala mbalimbali ya kampeni na mwelekeo wake wa uchaguzi. Matangazo hayo yalichangia kwa kiasi kikubwa kubadilisha mawazo ya watu mbalimbali kuhusu Dr. S...more... LISTEN NOW | VIEW CACHE | DOWNLOAD Exclusive: Mahojianona Fred Mpendazoe - Mbunge aliyeikacha CCM na kujiunga CCJ! Updated: 2010-04-12 03:42:09 Description: Nilisema awali kwamba kansa ya uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi isingekuwa ni jambo la kutisha sana kama tungekuwa tumeanza kuona kizuri cha upinzani kinachoweza kuiongoza nchi yetu badala ya CCM. Ubovu wa uongozi ndani ya CCM ndio uliofanya nika...more... LISTEN NOW | VIEW CACHE | DOWNLOAD Mchango wa mjadala wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi; Ni sheria mbaya! Updated: 2010-03-05 05:57:15 Description: Mapema leo nimeshiriki kwenye mjadala wa Star TV kuhusu sheria iliyopitishwa hivi karibuni ambayo inalengo la kusimamia matumizi ya fedha katika Uchaguzi. Rais Kikwete alitumia hotuba yake ya mwisho wa mwezi Februari kuelezea juu ya uzuri wa sheria h...more... LISTEN NOW | VIEW CACHE | DOWNLOAD Mahojiano na Waziri Phillip Marmo Juu ya Wagombea Binafsi Updated: 2010-03-03 06:23:27 Description: Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge) Bw. Phillip Marmo (pichani) amesema kuwa serikali haitokaidi uamuzi wa Mahakama kuhusu suala la wagombea binafsi endapo Mahakama ya Rufani itasisitiza kuwa waruhusiwe kwenye uchaguzi mkuu ujao kama ilivyoam...more... LISTEN NOW | VIEW CACHE | DOWNLOAD Mahojiano ya Mwanakijiji na PowerBreakfast - Clouds FM Updated: 2010-01-14 07:02:31 Description: Nimepata nafasi ya kuzungumza kwa muda mrefu na mojawapo ya vipindi maarufu nchini Tanzania kile cha Power Breakfast kinachorushwa na Clouds FM. Nilizungumza na Bw. Gerald Hando. Hii ni sehemu ya mahojiano hayo. ...more... LISTEN NOW | VIEW CACHE | DOWNLOAD Mahojiano na Chama cha Msalaba Mwekundu na Mpango wa kusaidia wahanga wa Mafuriko! Updated: 2010-01-10 05:56:45 Description: Unaweza kupata mpango tulio nao hadi hivi sasa wa kushiriki katika kuchangia wahanga wa mafuriko yanayoendelea nchini kupitia Chama cha Msalaba Mwekundu. Tumepata nafasi ya kuzungumza kwa kirefu na Mkuu wa Kitengo cha Maafa wa chama hicho nchini Bw. ...more... LISTEN NOW | VIEW CACHE | DOWNLOAD |
|
|||||